Habari mwana familia ya Ngudu sekondari;
Napenda kuwaletea matukio muhimu sana yaliyotokea katika graduation ya vijana wetu wa kidato cha sita Tar. 3/03/2017
Napenda kuwaletea matukio muhimu sana yaliyotokea katika graduation ya vijana wetu wa kidato cha sita Tar. 3/03/2017
Zifuatazo ni picha zilizopigwa siku hiyo.
![]() |
| MKUU WA SHULE: MH. JOHN C. KIMASA |
![]() |
| MKUU WA SHULE AKIPOKEA HESHIMA KUTOKA KWA KAMANDA WA SCOUT |
Kwa niaba ya mkuu wa shule, tunapenda kuwashukuru sana wazazi kwa kufika kwenu katika mahafali haya.
KARIBUNI TENA.

0 comments:
Post a Comment