Tarehe 12/10/2018 Jumuiaya ya wazazi CCM wilaya ya Ngudu iliandaa kongamano la vijana ambapo vijana wanafunzi kutoka shule mbili za sekonda...
Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018. Tazama matokeo ya NGUDU SEKONDARI kwa kubonyeza picha hap...
Habari mwanafamilia wa Ngudu sekondari. karibu sana katika ukurasa wetu huu wa shule yetu. leo hii tunakuletea fomu ya kuweza kujiunga na ...
MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA NNE 2017 Habari mwanafamilia wa shule ya Ngudu sekondari, haya ni matokeo ya wanafunzi wa ...
Ukihitaji ratiba ya mtihani wa kidato cha sita bofya link hii hapa chini RATIBA KIDATO CHA SITA
Habari mwanafamiliya ya NGUDU SECONDARY. Kwa niaba ya mkuu wa shule Ndugu, HENRY GABRIEL napenda kuwapongeza vijana wa kidato...